Tuesday, July 30, 2013

ENEO LA PEMBETATU-5


Tafuta eneo la pembetatu ifuatayo


Suluhu


Eneo =  1 x kitako x  kimo
              2

Eneo =  1  x  48  x  10
              2

Eneo =  1 x 4824 x  10 
              21

Eneo =  1 x 24  x  10

            
Eneo =  240Hivyo eneo ni dm2240
NYUZI-5

Tafuta thamani ya a katika umbo lifuatalo
Suluhu

2a + a + 900 = 1800

3a + 900 = 1800

3a + 900 - 900   = 1800 - 900

3a + 00 = 900

3a = 900

3a = 900
 3      3a = 300

Hivyo thamani ya a ni nyuzi 30


ENEO LA MCHE MSTATILI-4

Tafuta eneo la mche mstatili ufuatao:

Suluhu


Eneo= (urefu x 2) + (upana x 2) + (kimo x 2)


= (40x2) + (8x2) + (10 x 2)


=80 + 16 + 20


=116Hivyo eneo ni m2116
MZINGO WA DUARA-7


Tafuta mzingo wa duara hapo chini
Suluhu

Mzingo = ∏ x D

              = 22 x 14070
                   71

              = 22 x 70


              = 1540Hivyo mzingo ni milimeta 1540. NYUZI-4


Tafuta thamani ya a katika umbo lifuatalo:
Suluhu

3a + 3a + (a + 20) + (a + 20) = 360

6a + (a + 20) + (a + 20) = 360

6a + 2a + 40 = 360

8a + 40 = 360

8a = 360 – 40

8a = 320

8a  =  320
8          8

a= 40


Hivyo thamani ya a ni 40


ALJEBRA 16


Ikiwa 6y = 20; tafuta thamani ya y

Solution

6y = 20

6y = 20          gawanya kwa 6 kila upande
6       6

y =20/6 = 32/6  = 31/3 


Hivyo y = 31/3  

PYTHAGORAS-6


Tafuta urefu AC
Suluhu

Tutatumia kanuni ya PYTHAGORAS [ a2 + b2 = c2  ]

a2 + b2 = c2

AB2 + BC2 = AC2

362 + 252 = AC2

3600 + 625 = AC2

4225 = AC2  [Tafuta kipeuo cha pili cha 4225]

65 = AC


Hivyo AC= sm 65


ENEO LA MSTATILI-3


Eneo la mstatili ni sm2 800. Tafuta upana ikiwa urefu wake ni sm 80.

Suluhu

Chukulia kwamba upana ni w

Eneo= urefu  x  upana

800 = w x 80

        800    =  80w
         80         80

          w  = 10


Hivyo upana ni sm 10ENEO LA MSAMBAMBA-2


Eneo la msambamba ni sm2 80. Tafuta kitako ikiwa kimo ni sm 10.

Suluhu

Chukulia kwamba kitako ni e

Eneo= kitako  x  kimo

80 = e x 10

        80    = 10e
        10        10

          e  = 8


Hivyo kitako ni sm 8NYUZI-3

 Tafuta thamani ya n katika umbo lifuatalo:
Suluhu

n + n + (n + 4) + (n + 4) = 360

4n + 8 = 360

4n = 352

4n  =  352
4         4

n = 88

Hivyo thamani ya n ni 88KIPEUO CHA PILI-1


Tafuta kipeuo cha pili cha  kwa kutumia vigawo tasa.

suluhu
Hivyo kipeuo cha pili ni 16Monday, July 29, 2013

PYTHAGORAS-5


Tafuta urefu AC

Suluhu

Tutatumia kanuni ya PYTHAGORAS [ a2 + b2 = c2  ]

a2 + b2 = c2

AB2 + BC2 = AC2

242 + 102 = AC2

576 + 100 = AC2

676 = AC2 [Tafuta kipeuo cha pili cha 676]

26 = AC


Hence AC is 26cmMZINGO WA MRABA-9


Mzingo wa mraba  ni sm 88. Tafuta urefu wa upande mmoja.


Suluhu


Hebu chukulia kwamba upande = G

Mzingo = 4  x  upande

        88  = 4 x G

       88  = 4G
         4       4

          a  = 22


Hivyo upande mmoja ni mm 22ALJEBRA-15


Ikiwa   1P  =  50; tafuta m
            13

Suluhu

1P  =  50
13

113 x 1P  =  50 x  13     zidisha kwa 13 kila upande
       113

1P = 50 x 13

P = 650

Hivyo m=650


MZINGO WA NUSU DUARA-2


Tafuta mzingo wa nusu duara ifuatayo
Suluhu

Mzingo = D + D
                     2
Mzingo = 1122  X 50350     +  350
                    17          12

              = (11 x 50 ) + 350

              = 550 + 350

             = 900


Hivyo mzingo ni m 900

PYTHAGORAS-4


Tafuta urefu ACSuluhu

Tutatumia kanuni ya PYTHAGORAS [ a2 + b2 = c2  ]

a2 + b2 = c2

AB2 + BC2 = AC2

252362 = AC2

625  + 3600= AC2

4225 = AC2   [Tafuta kipeuo cha pili cha 4225]

65 = AC


Hivyo AC= sm 65ENEO LA MSAMBAMBA-2


Tafuta eneo la msambamba ufuatao
Suluhu

Eneo = kitako x kimo

= 12 x 5

=60


Hivyo Eneo ni mm260MZINGO WA DUARA-6


Tafuta mzingo wa duara hapo chini
Solution

Mzingo = 2 x ∏ x r

              = 2 x 22 x 63090
                        71

              = 2 x 22 x 90

              = 44 x 90

              = 3960

Hivyo mzingo ni meta 3960. ENEO LA DUARA-5


Tafuta eneo la duara lifuatalo
Suluhu

Eneo = ∏ x r2

= 22 x 568 x 56
    71

=22 x 8 x 56

=176 x 56

=9856Hivyo eneo ni m2 9856MZINGO WA MRABA-8


Tafuta mzingo wa mraba hapo chiniSuluhu

Mzingo = 4  x  upande

              = 4 x 200


              = 800

Hivyo mzingo ni mm 800

PYTHAGORAS-3


Tafuta urefu AC
Suluhu

Tutatumia kanuni ya PYTHAGORAS [ a2 + b2 = c2  ]

a2 + b2 = c2

AB2 + BC2 = AC2

52 + 122 = AC2

25 + 144 = AC2

169 = AC2    [Tafuta kipeuo cha pili cha 169]

13 = AC


Hivyo AC= sm 13NYUZI-2


Tafuta thamani ya x katika umbo lifuatalo.
Solution

2x + 2x + 8x + 8x = 3600

4x + 16x = 3600

20x = 3600

20x   = 3600
20         20

X = 180


Hivyo x ni 180

Friday, July 26, 2013

ENEO LA MCHE DUARA-2


Tafuta eneo la mche duara ufuatao (umefungwa pande zote)
Suluhu


Eneo = 2∏rh + 2∏ x r2


=(2 x 22 x 355 x 100) + (2 x 22 x 355 x 35)
           71                                    71

=(2 x 22 x 5 x 100) + (2 x 22 x 5 x 35)
                                          

=(44 x 500) + (44 x 5 x 35)


=22000+ 7700


=29700Hivyo eneo ni sm2 29700Wednesday, July 24, 2013

ENEO LA PEMBETATU-4Tafuta eneo la pembetatu ifuatayo
Suluhu

Eneo =  1 x kitako x  kimo
              2

Eneo =  1  x  22  x  20
              2

Eneo =  1 x 2211 x  20 
              21

Eneo =  1 x 11  x  20
             

Eneo =  220

Hivyo eneo ni mm2220