Tuesday, July 30, 2013

ENEO LA MSTATILI-3


Eneo la mstatili ni sm2 800. Tafuta upana ikiwa urefu wake ni sm 80.

Suluhu

Chukulia kwamba upana ni w

Eneo= urefu  x  upana

800 = w x 80

        800    =  80w
         80         80

          w  = 10


Hivyo upana ni sm 10No comments:

Post a Comment