Thursday, July 4, 2013

ENEO LA PEMBETATU-2

Eneo la pembetatu ni sm290. Tafuta kitako chake ikiwa kimo ni sm 30.

Suluhu

Eneo =  1 x kitako x kimo
              2


90  =  1 x kitako x 30
           2

Hebu chukulia kwamba kitako = b


90 =  1 x b  x 30
         2

90 =  1 x b x 3015,     canceling by 2
         21


90 =  1 x b  x  15

90 = 15b
            
660115b
115     115

b = 6


Hivyo kitako ni sm 6

No comments:

Post a Comment