Wednesday, July 24, 2013

MZINGO WA MRABA-4



Mzingo wa mraba ufuatao ni 44mm. Tafuta thamani ya a




Suluhu

Mzingo = 4 x Upande

44 = 4(a - 5)

44 = 4a – 20

44 + 20 = 4a

64 = 4a

64 =  4a
 4      4

16 = a

Hivyo thamani ya a ni 16


No comments:

Post a Comment