Thursday, July 4, 2013

MZINGO WA MSTATILI-2


mzingo wa mstatili hapo chini ni m 60. Ikiwa urefu wake ni m20, tafuta upana wake.

Suluhu

Hebu chukulia kwamba upana = m

Mzingo = 2(urefu + upana)

       60   = 2(20 + m)

       60   = 40 + 2m

60 - 40  = 2m

        20 = 2m

      20 = 2m
         2     2

        m = 10



Hivyo upana ni sm 10

No comments:

Post a Comment