Friday, July 5, 2013

UJAZO-4




Tafuta kimo cha mche mstatili ufuatao ikiwa ujazo wake ni sm3300.



Suluhu

Ujazo = urefu x upana x kimo

 Chukulia kwamba kimo=h

300 = 10 x 5 x h

300 = 50 x h

300 = 50h
 50     50

6 = h

Kwa hiyo kimo ni sm 6

No comments:

Post a Comment