Friday, August 16, 2013

NYUZI-16


Tafuta thamani ya a katika umbo lifuatalo.
Suluhu

Umbo hili limekaa mithili ya mkasi. Hivyo kila pembe mbili zinazotazamana ni sawa.

2a+200 + 2a+200 + 520 + 520 = 360

2a + 2a + 200 + 200 + 520 + 520 = 3600

4a + 400 + 1040 = 3600

4a+1440 = 3600

4a = 3600 - 1440

4a = 2160

4a = 2160
 4       4

a = 540


Hivyo thamani ya a ni 540


MZINGO-10


Tafuta thamani ya c katika umbo lifuatalo ikiwa mzingo wake ni m 52.
Suluhu

Mzingo = 2(urefu x upana)

Mzingo = 2[(c+6) + (c-2)]

Mzingo = 2[c+6 + c-2]

Mzingo = 2[c+ c + 6 -2]

Mzingo = 2[2c + 4]

Mzingo tuliopewa hapo juu, ni m 52.

52 = 4c + 8

52 – 8 = 4c

44 = 4c

44 = 4c
 4      4

11 = cHivyo thamani ya c ni 11


ENEO LA MRABA-2


Tafuta eneo la umbo lifuatalo ikiwa mzingo wake ni m 20.
Suluhu

Pande zote ni sawa. Huu ni mraba.

Mzingo = Upande x 4

20= (2y-7) x 4

20 = 8y-28

20 + 28 = 8y

48 = 8y

48 = 8y
 8      8

6 = y

Sasa tunatafuta urefu wa upande mmoja

Upande = 2y – 7

               = (2x6) – 7

               = 12 – 7

               = 5

Kwa kuwa tunao upande, sasa twatafuta eneo.

Eneo = upande x upande

          = 5 x 5

          = 25


Hivyo eneo la mraba ni m225Wednesday, August 14, 2013

UWIANO-7


Ikiwa(a+5) : 1 = 3a: 6 ; tafuta thamani ya a.

Suluhu

a+5      =  3a
   1             6
  
1 x 3a = 6 x (a+5)

3a = 6a + 30

3a – 6a =  30

-3a  =  30

-3a  =   30
-3         -3

a = -15


Hivyo thamani ya a ni -15


UMRI-3

Umri wa Amina ni mara nne ya ule wa Zakaria. Ikiwa jumla ya umri wao ni miaka 50, Tafuta umri wa wote.

Suluhu

Amina = y

Zakaria = 4y


Amina
Zakaria
Jumla
y
4y
50


y+4y = 50

5y = 50

5y = 50
5       5

y = 10


Umri wa Amina = y

                             = 10


Umri wa Zakaria = 5y

                              = 5 x 10

                              = 50Hivyo umri wa Amina ni miaka 10 na ule wa  Zakaria ni miaka 50


UMRI-2

Umri wa Neema ni mara tano ya ule wa Ana. Ikiwa jumla ya umri wao ni miaka 66, Tafuta umri wa Ana.

Suluhu

Neema = y

Ana = 5y


Neema
Ana
Jumla
y
5y
66


y+5y = 66

6y = 66

6y = 66
6       6

y = 11

Umri wa Paulina = 5y

                              = 5x11

                              = 55


Hivyo umri wa Paulina ni miaka 55


UWIANO-6


Ikiwa 3: (y-1) = 6:3y; Tafuta thamani ya y.

Suluhu

   3       =    6
(y-1)         3y

3 x 3y = 6 x (y-1)

9y = 6y - 6

9y - 6y =  - 6

3y  =  - 6

3y =  -6
3        3

y= -2


Hivyo thamani ya y ni -2

UWIANO-5


Ikiwa 6:2 = 9: (a+1); tafuta thamani ya a.

Suluhu

6   =   9
2       a+1

6 x (a+1) = 2 x 9

6a + 6 = 18

6a = 18 - 6

6a = 12

6a = 12
6       6

a = 2


Hivyo thamani ya a ni 2


UWIANO-4


Ikiwa 4:5 = 16:2x; tafuta thamani ya x.

Suluhu

4   =  16
5        2x

4 x 2x = 16 x 5

8x = 80


8x = 80
8        8

x = 10


Hivyo thamani ya x ni 10

UWIANO-3

Ikiwa 3:5 = 9:3x; Tafuta thamani ya x.

Suluhu

3   =  9
5       3x

3x3x = 9x5

9x = 45


9x = 45
9        9

x = 5


Hivyo thamani ya x ni 5

UWIANO-2


Ikiwa 2:7 = 8:m ; tafuta thamani ya m.

Suluhu

2   =  8
7       m

2xm = 7x8

2m = 56


2m = 56
2         2

m = 28


Hivyo thamani ya m ni 28

UWIANO-1

Ikiwa 3:7 = 6:B; Tafuta thamani ya B.

Suluhu

3   =  6
7       B

3xB = 7x6


3B = 42


3B = 42
3        3

B = 14


Hivyo thamani ya B ni 14UMRI-1


Umri wa Paulina ni mara tatu ya ule wa Diana. Ikiwa jumla ya umri wao ni miaka 64, tafuta umri wa Paulina.

Suluhu

Diana = y

Paulina = 3y


Diana
Paulina
Jumla
y
3y
64


y+3y = 64

4y = 64

4y = 64
4       4

y = 16

Umri wa Paulina = 3y

                              = 3x16

                              = 48


Hivyo umri wa Paulina ni miaka 48

Tuesday, August 13, 2013

NYUZI-15


Tafuta thamani ya a katika umbo lifuatalo
Suluhu

Hapa pembe zote tano ni sawa

4a+4a+4a+4a+4a= 5400

20a = 5400

20a = 5400
20      200

a = 270


Hivyo thamani ya a ni 270


MZINGO-9


Tafuta mzingo wa pembetatu ifuatayo.
Suluhu

Tutatumia kanuni ya PYTHAGORAS [ a2 + b2 = c2  ] kutafuta urefu AC

a2 + b2 = c2

AB2 + BC2 = AC2

5122   = AC2

25 144 = AC2

169 = AC2    [Tafuta kipeuo cha pili cha 169]

13 = AC

Baada ya kupata urefu AC, tunatafuta mzingo.

Mzingo = jumla ya pande zote

              = 12 + 5 + 13

              = 30


Hivyo mzingo ni mm 30.NYUZI-14


Tafuta thamani ya a katika umbo lifuatalo
Suluhu


Hapa pembe zote tano ni sawa

2a+2a+2a+2a+2a= 5400

10a = 5400

10a = 5400
10      100

a = 540


Hivyo thamani ya a ni 540


NYUZI-13


Tafuta thamaniya m katika umbo lifuatalo
Suluhu

Jumla ya nyuzi za pembetatu ni 1800

5m + 740 + 460  = 1800

5m + 1200  = 1800

5m = 1800 - 1200  

5m = 600

5m = 600
5        5

m = 120


Hivyo thamani ya m ni 120

NYUZI-12

Tafuta thamaniya x katika umbo lifuatalo
Suluhu

Jumla ya nyuzi za mstari mnyoofu ni 1800

x + 300 +  500 = 1800

x + 800 = 1800

x = 1800 - 800

x = 1000


Hivyo thamani ya x ni 1000


MZINGO-8


Tafuta mzingo wa pembetatu ifuatayo.
Suluhu

Tutatumia kanuni ya PYTHAGORAS [ a2 + b2 = c2  ] kutafuta urefu AC

a2 + b2 = c2

AB2 + BC2 = AC2

102 + 242 = AC2

100 + 576 = AC2

676 = AC2  [Tafuta kipeuo cha pili cha 676]

26 = AC

Baada ya kupata urefu AC, tunatafuta mzingo.

Mzingo = jumla ya pande zote

= 24+10+26

= 60


Hivyo mzingo ni  M 60.