Tuesday, August 13, 2013

MZINGO-8


Tafuta mzingo wa pembetatu ifuatayo.
Suluhu

Tutatumia kanuni ya PYTHAGORAS [ a2 + b2 = c2  ] kutafuta urefu AC

a2 + b2 = c2

AB2 + BC2 = AC2

102 + 242 = AC2

100 + 576 = AC2

676 = AC2  [Tafuta kipeuo cha pili cha 676]

26 = AC

Baada ya kupata urefu AC, tunatafuta mzingo.

Mzingo = jumla ya pande zote

= 24+10+26

= 60


Hivyo mzingo ni  M 60.


No comments:

Post a Comment