Wednesday, August 14, 2013

UMRI-3

Umri wa Amina ni mara nne ya ule wa Zakaria. Ikiwa jumla ya umri wao ni miaka 50, Tafuta umri wa wote.

Suluhu

Amina = y

Zakaria = 4y


Amina
Zakaria
Jumla
y
4y
50


y+4y = 50

5y = 50

5y = 50
5       5

y = 10


Umri wa Amina = y

                             = 10


Umri wa Zakaria = 5y

                              = 5 x 10

                              = 50



Hivyo umri wa Amina ni miaka 10 na ule wa  Zakaria ni miaka 50


No comments:

Post a Comment