Saturday, December 21, 2013

ALJEBRA A6

If   1m  =  7; find m
      10

Solution

1m  =  7
10

110 x 1m  =  7 x  10     zidisha kwa 10 kila upande
        110

1m = 7 x 10

m = 70

Hivyo m = 70


MZINGO WA NUSU DUARA A2

Tafuta mzingo wa nusu duara ifuatayoSuluhu

Mzingo = D + D
                     2

Mzingo =( 1122  X 90630 )    +  630
                     17          12

              = (11 x 90 ) + 630

              = 990 + 630

              = 1620


Hivyo mzingo ni mm 1620

UWIANO A4


Ikiwa 2:9 = 12:E; Tafuta thamani ya E.

Suluhu

2   =  12
9        E

2xE = 9x12

2E = 108


2E = 108
2         2

E = 54

Hivyo thamani ya E ni 54

ALJEBRA A5

Ikiwa  3w = 26; tafuta thamani ya w

Solution

3w = 26

3w = 26          [gawanya kwa 3 kila upande]
3        3

w = 82/3 


Hivyo w = 82/3  

Monday, December 16, 2013

ALJEBRA A4

Ikiwa 10y = 60; tafuta thamani ya y.

Solution

10y = 60

10y =60          [Gawanya kwa 10 kila upande.]
10      10

y = 6


Hivyo y = 6

MZINGO A3

Tafuta mzingo wa mraba ufuatao
Solution


Mzingo = 4  x  upande

              = 4 x 30

              = 120


Hivyo mzingo ni sm 120.


NYUZI A7

Tafuta B katika umbo lifuatalo.suluhu

Hili ni umbo aina ya pentagon. Jumla ya nyuzi katika pentagon ni 540.

Pembe zote ziko sawa.

6B + 6B + 6B + 6B + 6B = 5400

30B = 5400
30      30

B = 180

Hivyo B is 180

Tuesday, December 10, 2013

MZINGO A2


Mzingo wa pembetatu ifuatayo ni m 80. Tafuta thamani ya e.Suluhu

Mzingo = Jumla ya pande zote.

80 = 2e + 20 + 13

80 = 2e + 33

80 - 33 = 2e + 33 – 33

47 = 2e + 0

47 = 2e

47 = 2e
 2      2

23.5 = e


Hivyo e = 23.5


UJAZO A2


Tafuta ujazo wa mche mstatili ufuatao.
Suluhu

Ujazo = urefu x upana x kimo

Ujazo = 20 x 7 x 5

Ujazo = 140 x 5

Ujazo = 700


Kwa hiyo ujazo ni sm3700


NYUZI A2

Tafuta thamani ya a katika umbo lifuataloSuluhu

3a + 48 = 180

3a + 48-48 = 180 - 48     [toa 48 kila upande]

3a + 0 = 132

3a = 132

3a = 132
3        3

a= 44


Kwa hiyo a = 44

ALJEBRA A3

Ikiwa 4u + 8 = 28; tafuta thamani ya u.


Suluhu


4u + 8 = 28


4u + 8-8 = 28-8   toa 8 kila upande


4u + 0 = 20


4u = 20


4u = 20
4       4

u= 5


Kwa hiyo u = 5

Monday, December 9, 2013

UMRI A2


Umri wa Kaisari ni mara nne ya ule wa Maneno. Ikiwa jumla ya umri wao ni miaka 70, Tafuta umri wa wote.

Suluhu

Kaisari = t

Maneno = 4t

Kaisari
Maneno
Jumla
t
4t
70

t+4t = 70

5t = 70

5t = 70
5       5

t = 14

Umri wa Kaisari = t

                             = 14


Umri wa Maneno = 4t

                              = 4 x 14

                              = 56


Hivyo umri wa Kaisari ni miaka 14 na ule wa  Maneno ni miaka 56


ALJEBRA A2

R - 8 = 2. Tafuta thamani ya R.

Suluhu

R - 8 = 2

R – 8 + 8 = 2 + 8

R – 0 = 10

R = 10


Hivyo R = 10Saturday, December 7, 2013

ENEO LA MSAMBAMBA A2


Eneo la msambamba ufuatao ni mm2 6.5. Ikiwa kitako chake ni mm13, tafuta kimo chake.Suluhu

Eneo = kitako x kimo

6.5   =  13 x a

6.5 = 13a

6.5 = 13a
13      13

a =  6.5
       13

a = 6.5 x 10
       13    10

a =  650
       130

a =  65
       130

a = 0.5


Hivyo kimo chake ni mm 0.5


UWIANO A3


Ikiwa(2a+3) : 1 = 2a: 4 ; Tafuta thamani ya a.


Suluhu


2a+3      =  2a        tunafanya cross multiply.
   1               4

1 x 2a = 4 x (2a+3)

2a = 8a + 12

2a – 8a =  12

-6a  =  12

-6a  =   12
-6          -6

a = -2


Hivyo thamani ya a ni -2


Friday, December 6, 2013

UWIANO A2

Ikiwa 2:7 = 10:W; Tafuta thamani ya W.

Suluhu

2   =  10
7        W

2 x W = 7 x 10

2W = 70


2W = 70
 2        2

W = 35

Hivyo thamani ya W ni 35


NYUZI A2

Tafuta thamaniya e katika umbo lifuatalo
Suluhu

Jumla ya nyuzi za pembetatu ni 1800

e+600+650 = 1800

e+1250 = 1800

e+1250-1250 = 1800 - 1250

e = 1800 - 1250

e = 550


Hivyo thamani ya e ni 550