Friday, January 31, 2014

MAFUMBO A9

Manoa alikuwa na shilingi 900. Alimgawia Andrea shilingi 200. Je alibaki na kiasi gani?

Suluhu

sh 900 – sh 200 = sh 700.


Hivyo alibakiwa na sh 700.


ZAMU YAKO

Kim alikuwa na shilingi 1300. Alimgawia Jeni shilingi 600. Je alibaki na kiasi gani?

KDS A12

Tafuta KDS cha 40 na 48.

Suluhu   
 

2
40
48
2
20
24
2
10
12
2
5
6
3
5
3
5
5
1

1
1


KDS = 2 x 2 x 2 x 2 x 3 x 5

       = 8 x 30  (Kwa kuwa 2 X 2 x 2=8 na 2 x 3 x 5=30)

       = 240


Hivyo KDS ni 240

ZAMU YAKO

Tafuta KDS cha 72 na 48.

ALJEBRA A16

Ikiwa 2t= 44; tafuta t.

Solution

2t = 44

2t  = 44          gawanya kwa 4 kila upande
2        2

t = 22 


Hivyo t = 22

ZAMU YAKO

Ikiwa 3t= 27; tafuta t.

KKS A5

Tafuta KKS cha 40 na 32.

Suluhu    


40
32
20
16
10
8
2
5
4
2
5
2
5
5
1

1
1


Namba zilizozungushwa duara zinagawa namba za ndani bila kubaki. Hizo ndio tutatumia kutafuta KKS.

KKS = 2 x 2 x 2

       = 8


Hivyo KKS ni 8

ZAMU YAKO

Tafuta KKS cha 44 na 64.

WASTANI A11

Tafuta wastani wa 20 na 60.

Suluhu

20 + 60 = 70

Jumla ya namba = 80
Idadi ya namba = 2

Wastani = Jumla ya namba ÷ Idadi ya namba
            = 80 ÷ 2   
            = 40


Hivyo wastani ni 40

ZAMU YAKO

Tafuta wastani wa 50 na 60.

MAFUMBO A7

Marwa alikuwa na shilingi 500. Alimgawia Musa shilingi 300. Je alibaki na kiasi gani?

Suluhu

sh 500 – sh 300 = sh 200.


Hivyo alibakiwa na sh 200.

ZAMU YAKO

Marwa alikuwa na shilingi 1100. Alimgawia Musa shilingi 500. Je alibaki na kiasi gani?

KDS A11

Tafuta KDS cha 40 na 50.

Suluhu    


2
40
50
2
20
25
2
10
25
5
5
25
5
1
5

1
1


KDS = 2 x 2 x 2 x 5 x 5

       = 8 x 25  (Kwa kuwa 2 X 2 x 2=8 na 5 x 5=25)

       = 200


Hivyo KDS ni 200

ZAMU YAKO

Tafuta KDS cha 100 na 80.

ALJEBRA A15

Ikiwa 4t= 44; tafuta t.

Solution

4t = 44

4t  = 44          gawanya kwa 4 kila upande
4        4

t = 11 


Hivyo t = 11

MAFUMBO A6

Wema ana mashamba nane. Kila shamba lina miembe 12. Tafuta Idadi ya miembe yote kwa pamoja.

Suluhu

Idadi ya mashamba = 8
miembe kwa kila shamba = 12

= 8 x 12

= 96


Hivyo miembe yote kwa pamoja ni 96.

KKS A4

Tafuta KKS cha 40 na 50.

Suluhu    


40
50
2
20
25
2
10
25
5
25
5
1
5

1
1


Namba zilizozungushwa duara zinagawa namba za ndani bila kubaki. Hizo ndio tutatumia kutafuta KKS.

KKS = 2 x 5

       = 10


Hivyo KKS ni 10

WASTANI A10

Tafuta wastani wa 13 na 15.

Suluhu

13 + 15 = 28

Jumla ya namba = 28
Idadi ya namba = 2

Wastani = Jumla ya namba ÷ Idadi ya namba
                = 28 ÷ 2   
                = 14


Hivyo wastani ni 14

ALJEBRA A14

Ikiwa 3d= 60; tafuta d.

Solution

3d = 60

3d  = 60          Gawanya kwa 4 kila upande
3        3

d = 20 


Hivyo d = 20

MAFUMBO A5

Salma ana mashamba manne. Kila shsmba lina miembe 12. Tafuta Idadi ya miembe yote kwa pamoja.

Suluhu

Idadi ya mashamba = 4

miembe kwa kila shamba = 12

= 4 x 12

= 48


Hivyo miembe yote kwa pamoja ni 48.

KDS A10

Tafuta KDS cha 36 na 24.

Suluhu    


2
36
24
2
18
12
2
9
6
3
9
3
3
3
1

1
1


KDS = 2 x 2 x 2 x 3 x 3

       = 8 x 9  (Kwa kuwa 2 X 2 x 2=8 na  3 x 3=9)

       = 72

Hivyo KDS ni 72


Thursday, January 30, 2014

WASTANI A9

Tafuta wastani wa 30 na 50.

Suluhu

30 + 50 = 80

Jumla ya namba = 80
Idadi ya namba = 2

Wastani = Jumla ya namba ÷ Idadi ya namba
                = 80 ÷ 2   
                = 40


Hivyo wastani ni 40

MAFUMBO A4

Salome ana nyumba 5. Kila nyumba ina wapangaji 11. Tafuta Idadi ya wapangaji wote kwa pamoja.

Suluhu

Idadi ya nyumba = 5

wapangaji kwa kila nyumba = 11

= 5 x 11

= 55


Hivyo wapangaji wote kwa pamoja ni 55.

KKS A3

Tafuta KKS cha 30 na 40.

Suluhu    


30
40
2
15
20
2
15
10
3
15
5
5
5

1
1


Namba zilizozungushwa duara zinagawa namba za ndani bila kubaki. Hizo ndio tutatumia kutafuta KKS.

KKS = 2 x 5

       = 10

Hivyo KKS ni 10



MAFUMBO A3

Daudi ana nyumba 7. Kila nyumba ina wapangaji 10. Tafuta Idadi ya wapangaji wote kwa pamoja.

Suluhu

Idadi ya nyumba = 7

wapangaji kwa kila nyumba = 10

= 7 x 10

= 70


Hivyo wapangaji wote kwa pamoja ni 70.