Tuesday, January 28, 2014

WASTANI A1

Tafuta wastani wa 11 na 17.
           
Suluhu

17 + 11 = 28

Jumla ya namba = 28
Idadi ya namba = 2

Wastani = Jumla ya namba ÷ Idadi ya namba
             = 28 ÷ 2  
             = 14

Hivyo wastani ni  14


No comments:

Post a Comment