Tuesday, January 28, 2014

WASTANI A4

Tafuta wastani wa 17 na 19.

Suluhu

17 + 19 = 36

Jumla ya namba = 36
Idadi ya namba = 2

Wastani = Jumla ya namba ÷ Idadi ya namba
               = 36 ÷ 2   
               = 18


Hivyo wastani ni 18

No comments:

Post a Comment