Wednesday, January 29, 2014

WASTANI A6

Tafuta wastani wa 13 na 17.

Suluhu

13 + 17 = 30

Jumla ya namba = 30
Idadi ya namba = 2

Wastani = Jumla ya namba ÷ Idadi ya namba
                = 30 ÷ 2   
                = 15


Hivyo wastani ni 15

No comments:

Post a Comment