Wednesday, January 29, 2014

WASTANI A7

Tafuta wastani wa 10 na 30.

Suluhu

10 + 30 = 40

Jumla ya namba = 40
Idadi ya namba = 2

Wastani = Jumla ya namba ÷ Idadi ya namba
                = 40 ÷ 2   
                = 20


Hivyo wastani ni 20

No comments:

Post a Comment