Wednesday, March 26, 2014

SIMU YA MAANDISHI A1



Kampuni ya simu hutoza shilingi 500 kwa kila neno katika maneno kumi ya mwanzo, na sh 80 kwa kila neno linaloongezeka. Tafuta gharama ya kutuma maneno 16.

Suluhu

Maneno 16 – maneno 10 ya mwanzo = maneno 6 yanayoongezeka.
Maneno 6 x sh 80 = sh.480

Jumla ya gharama = maneno 10 ya mwanzo + maneno yanayoongezeka
                             =  500  +  480
                             =  980

Hivyo gharama ya kutuma maneno 16 ni sh 980.


ZAMU YAKO……………….

Kampuni ya simu hutoza shilingi 470 kwa kila neno katika maneno kumi ya mwanzo, na sh 70 kwa kila neno linaloongezeka. Tafuta gharama ya kutuma maneno 17.

10 comments:

  1. Gharama ya kutma maneno 17 ni sh 960

    ReplyDelete
  2. Nina mashaka na hayo majibu kutokana na maelezo ya swali

    ReplyDelete
  3. Replies
    1. Shida ni shilingi 500 kwa kila neno ktk maneno kumi ya mwanzo

      Delete
  4. Sawaa mathematician ,bt nina swali . Kama gharama ya kutuma simu yenye maneno 25 ni shillingi 900,ukiwa gharama ya kutuma maneno 10 ya mwanzo ni. Shillingi 300.tafuta gharama ya kila nenolinalongezeka na njia uoneshe

    ReplyDelete
  5. 25-10=15
    15 ndo maneno yalozidi
    Then, unachukua
    15xX=15x
    Then,kupata garama ya kutuma jumla ya maneno
    900=300+15x
    900-300=15x
    600=15x/15
    X=40
    Shilingi 40 ndo garama ya kutuma Kila neno linalozidi

    ReplyDelete