Wednesday, March 26, 2014

UWIANO A5



Marwa aligawa sh 12,000/= kwa watoto wake watatu katika uwiano wa 2:7:3. Tafuta kiasi alichopata motto wa pili.

Suluhu

Kwanza tunajumlisha uwiano: 2 + 7 + 3 = 12
Mtoto wa pili ana uwiano wa 7. 

sehemu ya mtoto wa pili ni 7/12.

Mtoto wa pili = 7  x  12,000
                        12
Mtoto wa pili = 7  x  12,0001000
                        121
Mtoto wa pili = 7  x  1000

Mtoto wa pili = 7,000.


Hivyo mtoto wa pili alipata 7000/=


ZAMU YAKO…..

Chacha aligawa sh 16,000/= kwa watoto wake watatu katika uwiano wa 2:5:3. Tafuta kiasi alichopata motto wa pili.

No comments:

Post a Comment