MAZOEZI YA HISABATI


ZOEZI LA 1Fanya maswali yafuatayo:

1.  456 + 34120=

2.  ikiwa A:B=4:5, tafuta B ikiwa A=12.

3.  Umri wa Wema ni mara sita ya ule wa Diamond. Ikiwa 
     jumla ya umri wao ni miaka 70, tafuta umri wa Wema.
                                                                             

4.  Tafuta eneo la umbo lifuatalo5.  Tafuta ujazo wa mche duara ufuatao


ZOEZI LA 2
1.  Tafuta wastani wa 4.2, 7.6, 3.3, 4.1 and 7.4.

2.  67.45 x 0.92 =

3.  Tafuta mzingo wa duara lifuatalo
4.  Tafuta thamani ya a katika pembetatu ifutayo
5. Tafuta urefu y ikiwa eneo la msambamba ufuatao
    ni  sm za eneo
ZOEZI LA 3


1.  Tafuta y ikiwa 5y = 80 - 15y + 60.

2.  907856 + 309 - 45794 =

3.  Tafuta e katika umbo lifuatalo4.  Tafuta mzingo wa umbo lifuatalo
5.  Ikiwa (2x - 8) : 20 = 6: 22; Tafuta thamani ya x.

 ZOEZI LA 41.   3m/5 = 21 ; tafuta m.

2. Umri wa Taso ni mara sita ya ule wa Msabaha. 
    Miaka saba iliyopita jumla ya umri wao ilikuwa 
    ni miaka 70. Tafuta umri wa Taso 
    miaka saba iliyopita.

3. Kisanga, Baraka na Salome waligawana fedha Tsh. 
    28,000/= katika uwiano wa 3:5:6. Tafuta kiasi alichopata
    Baraka.

4.  Tafuta eneo la umbo lifuatalo.


5.  Tafuta thamani ya a katika umbo lifuatalo.


ZOEZI LA 5

1. Eneo la pembetatu ifuatayo ni meta za eneo 80. tafuta
    kitako chake.2. Tafuta thamani ya w katika umbo lifuatalo.3. Tafuta eneo la mstatili ufuatao.4. Tafuta eneo la nusu duara lifuatalo.5. Tafuta eneo la msambamba ufuatao.

2 comments: