Eneo la pembe tatu ni mm260.
Ikiwa kitako ni  mm20, tafuta kimo chake.
Solution
Eneo =  1 x kitako x kimo
              2
Hebu
chukulia kwamba kimo = h
60 =  1 x 20  x h
         2
60 =  1 x 2010 x h,     canceling
by 2
60 =  1 x 10 
x  h
60 = 10h
660
=  110h
110     110
h = 6mm
Hivyo kimo ni mm 6
No comments:
Post a Comment