Thursday, August 10, 2017

MSAMBAMBA 1


Tafuta eneo la msambamba wenye kitako sm 18 na kimo sm 5.

Suluhu


Eneo = kitako  x  kimo

          = 18 x 5

          = 80


Hivyo eneo ni sm2 80.

ZAMU YAKO


Tafuta eneo la msambamba wenye kitako sm 28 na kimo sm 3

RAHISISHA 1


Rahisisha 6m3 ÷ 2m

Suluhu

= 6m3
   2m

= 6 x m x m x m 1
      2m1

= 36 x m x m
       12

= 3 x m x m

= 3m2

ZAMU YAKO

Rahisisha 18m6 ÷ 9m


Monday, February 15, 2016

ENEO LA MSAMBAMBA-1Tafuta eneo la msambamba ufuatao.
Solution


Eneo = kitako  x  kimo

       = 13 x 5

       = 65


Hivyo eneo ni sm2 65.

ZAMU YAKO………………


Tafuta eneo la msambamba ufuatao.

ALGEBRA - 8


Ikiwa   1m  =  7; tafuta m.
             3

Suluhu

1m  =  7
3

13 x 1m  =  7 x  3     zidisha kwa 3 kila upande
        13

1m = 7 x 3

m = 21

Hivyo m = 21


ZAMU YAKO……………..

Ikiwa   1e  =  5;  tafuta e.
            10


MAFUMBO-2Mayanja ana machungwa 900. Alikula machungwa 125. Je alibakiwa na machungwa mangapi?

Suluhu

Hapa tunatakiwa kutoa:
                    

JUMLA
Mayanja
   900
-  125
Alikula
BAKI
   775

Hivyo alibakiwa na machungwa 775


ZAMU YAKO………………


Nyamwaga alinunua penseli 760. Aliwagawia watotowake penseli 136. Je, alibakiwa na penseli ngapi?


Saturday, February 13, 2016

MAFUMBO-1


Mayanja ana magari 400. Kasita ana magari 700. Je, jumla wana magari mangapi?

Suluhu

Hapa tunatakiwa kujumlisha:
                    


JUMLA
Mayanja
  400
+700
Kasita
JUMLA
1100

Hivyo jumla ya magari yao ni 1100


ZAMU YAKO………………Malima ana magari 600. Kasimu ana magari 800. Je, jumla wana magari mangapi?

UJAZO - 1


Tafuta kimo cha mche mstatili ufuatao ikiwa ujazo wake ni  sm3420Suluhu

Ujazo = urefu x upana x kimo


420 = 10 x 7 x h


420 = 70 x h


420 = 70h
 70      70
 
6 = h

Kwa hiyo kimo ni sm 6.


ZAMU YAKO………………

Tafuta kimo cha mche mstatili ufuatao ikiwa ujazo wake ni  sm3240