Ikiwa 4u + 8 = 28; tafuta thamani ya u.
Suluhu
4u + 4 = 28
4u + 4-4 = 28-4 toa 4 kila
upande
4u + 0 = 24
4u = 24
4u
= 24 Tunagawa kwa 4 kila upande.
4 4
u= 6
Kwa hiyo u = 6
ZAMU YAKO ………………..
Ikiwa 4u + 11 = 39; tafuta thamani ya
u.
umri wa Sarah utakuwa mara mbili ya ule wa dorica baada ya miaka 8.ikiwa jumla ya umri wa sasa ni miaka 80.Tafuta umri wa sasa wa Sarah?
ReplyDeletemsaada hili swali
Delete