Thursday, August 10, 2017

MSAMBAMBA 1


Tafuta eneo la msambamba wenye kitako sm 18 na kimo sm 5.

Suluhu


Eneo = kitako  x  kimo

          = 18 x 5

          = 90


Hivyo eneo ni sm2 90.


ZAMU YAKO


Tafuta eneo la msambamba wenye kitako sm 28 na kimo sm 3

4 comments:

  1. Replies
    1. Okay asante Mwakia. Nimebadili tayari

      Delete
    2. Tafuta eneo la msambamba wenye kitako sm 28 na kimo sm 3
      28×3=84
      Hivyo ukubwa wa eneo ni sm²84.

      Delete
    3. Kwenye mstari wa mwisho hapo chini: Inatakiwa iwe Eneo na siyo Ukubwa.

      Delete