Wednesday, February 10, 2016

ALGEBRA - 3


Tafuta y Ikiwa 23y – 8 = 9y + 20.

Suluhu

23y – 8 = 9y + 20

23y - 9y = 8 + 20  (baada ya kukusanya mitajo inayo fanana)

14y = 28

14y = 28
14     14

y = 2


ZAMU YAKO……………….


Tafuta w Ikiwa 8w – 20 = 3w + 15.

Tuesday, February 9, 2016

KDS - 1


Tafuta KDS cha 32 na 68   

Suluhu      


2
32
68
2
16
34
2
8
17
2
4
17
2
2
17
17
1
17
1
1


KDS = 2 X 2 x 2 x 2 x 2 x17
       = 544

Hivyo KDS ni 544

ZAMU YAKO……………….


Tafuta KDS cha 48 na 64

WASTANI - 1


Tafuta wastani wa 11, 29 na 17.
           
Suluhu

11 +17 + 29 = 57

Jumla ya namba = 57
Idadi ya namba = 3

Wastani = Jumla ya namba ÷ Idadi ya namba
             = 57 ÷ 3  
             = 19

Hivyo wastani ni  19


ZAMU YAKO……………….



Tafuta wastani wa 20, 23 na 47.

ALGEBRA 2


Tafuta y Ikiwa 11y – 8 = 9y + 10.

Suluhu

11y – 8 = 9y + 10

11y - 9y = 8 + 10  (baada ya kukusanya mitajo inayo fanana)

9y = 18

9y = 18
9       9

y = 2


ZAMU YAKO……………….


Tafuta y Ikiwa 10y – 20 = 3y + 8.



Monday, February 8, 2016

UWIANO - 1


Ikiwa 4:9 = 12:E; Tafuta thamani ya E.

Suluhu

4   =  12
9        E

4xE = 9x12

4E = 108


4E = 108
4        4

E = 27

Hivyo thamani ya E ni 27


ZAMU YAKO……………..


Ikiwa 4:9 = 20:A; Tafuta thamani ya A.

MZINGO WA NUSU DUARA - 1



Tafuta mzingo wa nusu duara lenye kipenyo cha sm 6300.

jibu

Mzingo = ∏D + D
                     2

Mzingo =( 1122  X 9006300 )    +  6300
                     17          12

              = (11 x 900 ) + 6300

              = 9900 + 6300

              = 16200


Hivyo mzingo ni sm 16200.


ZAMU YAKO……………..


Tafuta mzingo wa nusu duara lenye kipenyo cha sm 4200.


ALGEBRA - 1


Ikiwa   1m  =  7; tafuta m.
            10

Suluhu

1m  =  7
10

110 x 1m  =  7 x  10     zidisha kwa 10 kila upande
        110

1m = 7 x 10

m = 70

Hivyo m = 70

ZAMU YAKO……………..

Ikiwa   1m  =  4;  tafuta m

            10