Tafuta wastani wa 11, 29 na 17.
Suluhu
11 +17 + 29 = 57
Jumla ya namba = 57
Idadi ya namba = 3
Wastani = Jumla ya namba ÷ Idadi
ya namba
=
57 ÷ 3
=
19
Hivyo wastani ni 19
ZAMU YAKO……………….
Tafuta wastani wa 20, 23 na 47.
20+23+47=90
ReplyDeleteJumla ya no ni 90
Idadi ya no ni 3
Wastani=jumla ya no ÷kwa idadi ya no
90÷3=30
Wastani wa no ni 30