Tuesday, May 27, 2014

WASTANI A13



Tafuta wastani wa 29 na 17.
           
Suluhu

17 + 29 = 46

Jumla ya namba = 46
Idadi ya namba = 2

Wastani = Jumla ya namba ÷ Idadi ya namba
                = 46 ÷ 2  
                = 23

Hivyo wastani ni  23

ZAMU YAKO……………….

Tafuta wastani wa 23 na 47.

No comments:

Post a Comment