Tafuta
wastani wa 29 na 17.
Suluhu
17
+ 29 = 46
Jumla
ya namba = 46
Idadi
ya namba = 2
Wastani
= Jumla ya namba ÷ Idadi ya namba
= 46 ÷ 2
= 23
Hivyo wastani ni 23
ZAMU YAKO……………….
Tafuta
wastani wa 23 na 47.
No comments:
Post a Comment