Mzingo wa
pembetatu ni sm 50. Ikiwa pande zake ni sm 21 na sm 13, tafuta upande uliobaki
Suluhu
Chukulia
kwamba upande uliobaki ni x
Mzingo =
jumla ya pande zote
50 = 21 + 13 +
x
50 = 34 + x
50 – 34 = x
16 = x
Hivyo upande uliobaki ni sm 16.
ZAMU YAKO ………………..
Mzingo wa
pembetatu ni sm 60. Ikiwa pande zake ni sm 21 na sm 22, tafuta upande uliobaki
---------------------------------------------------------------------------------------------------------
Tembelea You Tube chaneli yetu upate maarifa zaidi.
--------------------------------------------------------------------------------------------------------
No comments:
Post a Comment