Friday, January 31, 2014

MAFUMBO A9

Manoa alikuwa na shilingi 900. Alimgawia Andrea shilingi 200. Je alibaki na kiasi gani?

Suluhu

sh 900 – sh 200 = sh 700.


Hivyo alibakiwa na sh 700.


ZAMU YAKO

Kim alikuwa na shilingi 1300. Alimgawia Jeni shilingi 600. Je alibaki na kiasi gani?

KDS A12

Tafuta KDS cha 40 na 48.

Suluhu   
 

2
40
48
2
20
24
2
10
12
2
5
6
3
5
3
5
5
1

1
1


KDS = 2 x 2 x 2 x 2 x 3 x 5

       = 8 x 30  (Kwa kuwa 2 X 2 x 2=8 na 2 x 3 x 5=30)

       = 240


Hivyo KDS ni 240

ZAMU YAKO

Tafuta KDS cha 72 na 48.

ALJEBRA A16

Ikiwa 2t= 44; tafuta t.

Solution

2t = 44

2t  = 44          gawanya kwa 4 kila upande
2        2

t = 22 


Hivyo t = 22

ZAMU YAKO

Ikiwa 3t= 27; tafuta t.

KKS A5

Tafuta KKS cha 40 na 32.

Suluhu    


②
40
32
②
20
16
②
10
8
2
5
4
2
5
2
5
5
1

1
1


Namba zilizozungushwa duara zinagawa namba za ndani bila kubaki. Hizo ndio tutatumia kutafuta KKS.

KKS = 2 x 2 x 2

       = 8


Hivyo KKS ni 8

ZAMU YAKO

Tafuta KKS cha 44 na 64.

WASTANI A11

Tafuta wastani wa 20 na 60.

Suluhu

20 + 60 = 70

Jumla ya namba = 80
Idadi ya namba = 2

Wastani = Jumla ya namba ÷ Idadi ya namba
            = 80 ÷ 2   
            = 40


Hivyo wastani ni 40

ZAMU YAKO

Tafuta wastani wa 50 na 60.

MAFUMBO A7

Marwa alikuwa na shilingi 500. Alimgawia Musa shilingi 300. Je alibaki na kiasi gani?

Suluhu

sh 500 – sh 300 = sh 200.


Hivyo alibakiwa na sh 200.

ZAMU YAKO

Marwa alikuwa na shilingi 1100. Alimgawia Musa shilingi 500. Je alibaki na kiasi gani?

KDS A11

Tafuta KDS cha 40 na 50.

Suluhu    


2
40
50
2
20
25
2
10
25
5
5
25
5
1
5

1
1


KDS = 2 x 2 x 2 x 5 x 5

       = 8 x 25  (Kwa kuwa 2 X 2 x 2=8 na 5 x 5=25)

       = 200


Hivyo KDS ni 200

ZAMU YAKO

Tafuta KDS cha 100 na 80.