Marwa
alikuwa na shilingi 500. Alimgawia Musa shilingi 300. Je alibaki na kiasi
gani?
Suluhu
sh 500 – sh
300 = sh 200.
Hivyo alibakiwa na sh 200.
ZAMU YAKO
Marwa alikuwa na shilingi 1100. Alimgawia Musa shilingi 500. Je alibaki na kiasi gani?
No comments:
Post a Comment