Manoa
alikuwa na shilingi 900. Alimgawia Andrea shilingi 200. Je alibaki na kiasi
gani?
Suluhu
sh 900 – sh 200
= sh 700.
Hivyo alibakiwa na sh 700.
ZAMU YAKO
Kim alikuwa na shilingi 1300. Alimgawia Jeni shilingi 600. Je alibaki na kiasi gani?
No comments:
Post a Comment