Wednesday, February 19, 2014

ALJEBRA A21

Ikiwa 5t = 30; tafuta t.

Solution

5t = 30

5t  = 30          [gawanya kwa 5 kila upande]
5        5

t = 6 


Hivyo t = 6

KKS A7

Tafuta KKS cha 40 na 48.

Suluhu    


40
36
20
18
10
9
3
5
9
3
5
3
5
5
1

1
1


Namba zilizo ndani ya viduara ndio tunatumia kutafuta KKS.


KKS = 2 x 2 x 2

       = 8


Hivyo KKS ni 8


ZAMU YAKO......

Tafuta KKS cha 42 na 63.

ALJEBRA A20

Rahisisha a + 3a + 6a + 11a

Solution

= a + 3a + 6a + 11a

= (a + 3a) + (6a + 11a)

= 4a + 17a

= 18a

Hivyo a + 3a + 6a + 11a = 18a


ZAMU YAKO………


Rahisisha w + 5w + 7w + 15w.

ALJEBRA A19

Rahisisha 10p + 5m + 2m + p

Suluhu

=10p + 5m + 2m + p

=10p + p  + 5m + 2m

= 11p + 7m

Hivyo 10p + 5m + 2m + p = 11p + 7m


ZAMU YAKO………



Rahisisha 13p + 7m + 2m + 7p

KKS A6


Tafuta KKS cha 40 na 48.

Suluhu    


40
48
20
24
10
12
2
5
6
3
5
3
5
5
1

1
1

Namba zilizo ndani ya viduara ndio tunatumia kutafuta KKS.

KKS = 2 x 2 x 2

       = 8


Hivyo KKS ni 8

ZAMU YAKO......

Tafuta KKS cha 18 na 48.

ALJEBRA A18

Rahisisha 4(m + n + p)

Suluhu

= 4(m + n + p)       [fungua mabano]

= (4 x m) + (4 x n) + (4 x p)

= 4m + 4n + 4p


ZAMU YAKO………


Rahisisha 12(a + b + c)

MAGAZIJUTO A2


Kokotoa 2 x 6 + (17 - 3) ÷ 2.

Suluhu


Tunatumia MAGAZIJUTO.


= 2 x 6 + (17 - 5) ÷ 2


= 2 x 6 + 12 ÷ 2 [baada ya kutoa ndani ya mabano]


= 2 x 6 + 6   [baada ya kugawanya]


= 12 + 6  [baada ya kuzidisha]


= 18   [baada ya kujumlisha]



ZAMU YAKO…..



Kokotoa 4 x 9 + (68 + 2) ÷ 5

UWIANO A5

Ikiwa 3: 8 = 10:B; Tafuta B.

Suluhu

3   =  10                            [cross multiply]
8        B

3 x B = 10 x 8

3B = 80


3B = 80                      [Gawanya kwa3 kila upande]
3        3

B = 262/3

Hivyo B = 262/3


ZAMU YAKO………


Ikiwa 3: 7 = 12 :H; Tafuta H.

ALJEBRA A17


Rahisisha 4(3a + 9e)

Suluhu

= 4(3a + 9e)           [fungua mabano]

= (4 x 3a) + (4 x 9e)

= 12a + 36e


ZAMU YAKO…..


Rahisisha 8(4m + 11n)

MAGAZIJUTO A1


Kokotoa 3 x 8 + (20 - 6) ÷ 2.

Suluhu


Tunatumia MAGAZIJUTO.


= 3 x 8 + (20 - 6) ÷ 2


= 3 x 8 + 14 ÷ 2 [baada ya kutoa ndani ya mabano]


= 3 x 8 + 7   [baada ya kugawanya]


= 24 + 7   [baada ya kuzidisha]


= 31   [baada ya kujumlisha]



ZAMU YAKO…..


Kokotoa 3 x 11 + (40 - 8) ÷ 4