Kokotoa 2 x 6 + (17 - 3) ÷ 2.
Suluhu
Tunatumia MAGAZIJUTO.
= 2 x 6 + (17 - 5) ÷ 2
= 2 x 6 + 12 ÷ 2 [baada ya kutoa ndani ya mabano]
= 2 x 6 + 6 [baada ya kugawanya]
= 12 + 6 [baada ya kuzidisha]
= 18 [baada ya kujumlisha]
ZAMU YAKO…..
Kokotoa 4 x 9 + (68 + 2) ÷ 5
No comments:
Post a Comment