Wednesday, February 19, 2014

KKS A7

Tafuta KKS cha 40 na 48.

Suluhu    


40
36
20
18
10
9
3
5
9
3
5
3
5
5
1

1
1


Namba zilizo ndani ya viduara ndio tunatumia kutafuta KKS.


KKS = 2 x 2 x 2

       = 8


Hivyo KKS ni 8


ZAMU YAKO......

Tafuta KKS cha 42 na 63.

No comments:

Post a Comment