Wednesday, February 19, 2014

MAGAZIJUTO A1


Kokotoa 3 x 8 + (20 - 6) ÷ 2.

Suluhu


Tunatumia MAGAZIJUTO.


= 3 x 8 + (20 - 6) ÷ 2


= 3 x 8 + 14 ÷ 2 [baada ya kutoa ndani ya mabano]


= 3 x 8 + 7   [baada ya kugawanya]


= 24 + 7   [baada ya kuzidisha]


= 31   [baada ya kujumlisha]



ZAMU YAKO…..


Kokotoa 3 x 11 + (40 - 8) ÷ 4

8 comments: