Friday, November 19, 2021

UWIANO

 

Ikiwa 2:9 = 12:E; Tafuta thamani ya E.

 

Suluhu

 

2   =  12

9        E

 

2xE = 9x12

 

2E = 108

 

 

2E = 108

2         2

 

E = 54

 

Hivyo thamani ya E ni 54

 

ZAMU YAKO ……………….. 

 

Ikiwa 2:7 = 14:E; Tafuta thamani ya E.

 



Thursday, November 18, 2021

ALJEBRA 2

 

Ikiwa  3w = 23; tafuta thamani ya w

 

Suluhu

 

3w = 23

 

3w = 23          [gawanya kwa 3 kila upande]

3        3

 

w = 72/3 

 

 

Hivyo w = 72/3  

 

ZAMU YAKO ……………….. 

 

Ikiwa  2e = 19; tafuta thamani ya e



Wednesday, November 17, 2021

ALJEBRA STD 5

 

Ikiwa 4u + 8 = 28; tafuta thamani ya u.

 

Suluhu

  

4u + 4 = 28

 

4u + 4-4 = 28-4   toa 4 kila upande

  

4u + 0 = 24

 


4u = 24

 


4u = 24    Tunagawa kwa 4 kila upande.

4      4

 

u= 6

 

Kwa hiyo u = 6

 

ZAMU YAKO ……………….. 

 

Ikiwa 4u + 11 = 39; tafuta thamani ya u.




Monday, November 15, 2021

MZINGO WA PEMBETATU


Mzingo wa pembetatu ni sm 50. Ikiwa pande zake ni sm 21 na sm 13, tafuta upande uliobaki

Suluhu

Chukulia kwamba upande uliobaki ni x

Mzingo = jumla ya pande zote

50 = 21  +  13 + x

50 = 34 + x

50 – 34 = x

16 = x

Hivyo upande uliobaki ni sm 16.


ZAMU YAKO ……………….. 

Mzingo wa pembetatu ni sm 60. Ikiwa pande zake ni sm 21 na sm 22, tafuta upande uliobaki


---------------------------------------------------------------------------------------------------------

Tembelea You Tube chaneli yetu upate maarifa zaidi.

--------------------------------------------------------------------------------------------------------




Wednesday, January 20, 2021

ALJEBRA

 

Ikiwa   1e  =  50; tafuta e.

            23

 

Suluhu

 

1e  =  50

23

 

123 x 1e  =  50 x  23     zidisha kwa 23 kila upande

       123

 

1e = 50 x 23

 

e = 1150                   [kwa kuwa 1e = e]

 

Hivyo e=1150

 

ZAMU YAKO

 

Ikiwa   1d  =  20; tafuta d.

            14

Thursday, August 10, 2017

MSAMBAMBA 1


Tafuta eneo la msambamba wenye kitako sm 18 na kimo sm 5.

Suluhu


Eneo = kitako  x  kimo

          = 18 x 5

          = 90


Hivyo eneo ni sm2 90.


ZAMU YAKO


Tafuta eneo la msambamba wenye kitako sm 28 na kimo sm 3

RAHISISHA 1


Rahisisha 6m3 ÷ 2m

Suluhu

= 6m3
   2m

= 6 x m x m x m 1
      2m1

= 36 x m x m
       12

= 3 x m x m

= 3m2

ZAMU YAKO

Rahisisha 18m6 ÷ 9m