HISABATI
Pages
Home
HISABATI KWA VIDEO
MAZOEZI YA HISABATI
Tuesday, August 13, 2013
NYUZI-11
Tafuta thamaniya a katika umbo lifuatalo
Suluhu
Jumla ya nyuzi za mstari mnyoofu ni 180
0
5a + 30
0
= 180
0
5a = 180
0
- 30
0
5a = 150
0
5a = 150
0
5a
=
150
0
5 5
m = 30
Hivyo thamani ya m ni 30
0
NYUZI-10
Tafuta thamaniya c katika umbo lifuatalo
Suluhu
Jumla ya nyuzi za mstari mnyoofu ni 180
0
c + 123
0
= 180
0
c = 180
0
- 123
0
c = 57
0
Hivyo thamani ya c ni 57
0
NYUZI-9
Tafuta thamani ya y katika umbo lifuatalo
Suluhu
Jumla ya nyuzi za pembetatu ni 180
0
y+2y+48
0
= 180
0
3y+48
0
= 180
0
3y = 180
0
- 48
0
3y = 132
0
3
y =
132
0
3 3
y = 44
Hivyo thamani ya y ni 44
0
NYUZI-8
Tafuta thamaniya e katika umbo lifuatalo
Suluhu
Jumla ya nyuzi za pembetatu ni 180
0
e+63
0
+29
0
= 180
0
e+92
0
= 180
0
e+92
0
-92
0
= 180
0
- 92
0
e = 88
0
Hivyo thamani ya e ni 88
0
NYUZI-7
Tafuta thamaniya f katika umbo lifuatalo
Suluhu
Hapa pembe zote tano ni sawa
6f+6f+6f+6f+6f = 540
0
30f = 540
0
30
f =
540
0
30 30
0
f = 18
0
Hivyo thamani ya f ni 18
0
Wednesday, August 7, 2013
NYUZI-6
Tafuta thamani ya m katika umbo lifuatalo.
Suluhu
m + m + 40
0
= 180
0
2m + 40
0
= 180
0
2m + 40
0
– 40
0
= 180
0
– 40
0
2m + 0 = 140
0
2m = 140
0
2m
=
140
0
2 2
m = 70
0
Hivyo thamani ya m ni 70
0
Saturday, August 3, 2013
MZINGO-8
Mzingo wa pembetatu ifuatayo ni mm 140. Tafuta thamani ya a
Suluhu
Mzingo = jumla ya pande zote
100 = 2a + 5a + 3a
100 = 10a
10
100
=
1
10
a
1
10
1
10
a = 10
Hivyo thamani ya a ni 10
Newer Posts
Older Posts
Home
Subscribe to:
Posts (Atom)