Saturday, August 3, 2013

MZINGO-8


 Mzingo wa pembetatu ifuatayo ni mm 140. Tafuta thamani ya a




Suluhu


Mzingo = jumla ya pande zote


       100 = 2a + 5a + 3a
   

      100 = 10a


      10 100    = 110a
         110         110
 


      a = 10


Hivyo thamani ya a ni 10




No comments:

Post a Comment