Wednesday, August 7, 2013

NYUZI-6


Tafuta thamani ya m katika umbo lifuatalo.




Suluhu

m + m + 400 = 1800

2m + 400 = 1800

2m + 400 – 400 = 1800 – 400

2m + 0 = 1400

2m = 1400

2m  = 1400
2          2

m = 700


Hivyo thamani ya m ni 700


No comments:

Post a Comment