Tuesday, August 13, 2013

NYUZI-9

Tafuta thamani ya y katika umbo lifuatalo




Suluhu

Jumla ya nyuzi za pembetatu ni 1800

y+2y+480 = 1800

3y+480 = 1800

3y = 1800- 480

3y = 1320

3y = 1320
3        3

y = 44


Hivyo thamani ya y ni 440


No comments:

Post a Comment