Wednesday, February 19, 2014

MAGAZIJUTO A1


Kokotoa 3 x 8 + (20 - 6) ÷ 2.

Suluhu


Tunatumia MAGAZIJUTO.


= 3 x 8 + (20 - 6) ÷ 2


= 3 x 8 + 14 ÷ 2 [baada ya kutoa ndani ya mabano]


= 3 x 8 + 7   [baada ya kugawanya]


= 24 + 7   [baada ya kuzidisha]


= 31   [baada ya kujumlisha]ZAMU YAKO…..


Kokotoa 3 x 11 + (40 - 8) ÷ 4

1 comment:

  1. Habari zaKazi?
    Nashukuru sana Kufanya kazi kama hii
    Wewe unania Ya kuiendeleza Jamii hata Wanafunzi Pia ,nakushukuru
    Mungu Akubariki

    ReplyDelete