Eneo la
msambamba ufuatao ni mm2 6.5. Ikiwa kitako chake ni mm13, tafuta
kimo chake.
Suluhu
Eneo = kitako
x kimo
6.5 = 13 x
a
6.5 = 13a
6.5
= 13a
13 13
a = 6.5
13
a = 6.5 x 10
13
10
a = 650
130
a = 65
130
a = 0.5
Hivyo kimo chake ni mm 0.5
No comments:
Post a Comment