Umri wa Kaisari ni mara nne ya ule wa Maneno. Ikiwa jumla
ya umri wao ni miaka 70, Tafuta umri wa wote.
Suluhu
Kaisari = t
Maneno = 4t
Kaisari
|
Maneno
|
Jumla
|
t
|
4t
|
70
|
t+4t = 70
5t = 70
5t = 70
5 5
t = 14
Umri wa Kaisari = t
= 14
Umri wa Maneno = 4t
= 4 x 14
= 56
Hivyo umri wa Kaisari ni miaka 14 na ule wa Maneno ni miaka 56
No comments:
Post a Comment