Tuesday, December 10, 2013

MZINGO A2


Mzingo wa pembetatu ifuatayo ni m 80. Tafuta thamani ya e.



Suluhu

Mzingo = Jumla ya pande zote.

80 = 2e + 20 + 13

80 = 2e + 33

80 - 33 = 2e + 33 – 33

47 = 2e + 0

47 = 2e

47 = 2e
 2      2

23.5 = e


Hivyo e = 23.5


1 comment: