Monday, December 16, 2013

NYUZI A7

Tafuta B katika umbo lifuatalo.



suluhu

Hili ni umbo aina ya pentagon. Jumla ya nyuzi katika pentagon ni 540.

Pembe zote ziko sawa.

6B + 6B + 6B + 6B + 6B = 5400

30B = 5400
30      30

B = 180

Hivyo B is 180

No comments:

Post a Comment