Friday, February 12, 2016

NYUZI - 2


Tafuta thamani ya G katika umbo lifuatalo.Suluhu

Jumla ya nyuzi za mstari mnyoofu ni 1800

G + 650 = 1800

G= 1800 - 650

G = 1150

Hivyo thamani ya G ni 1150


ZAMU YAKO………………Tafuta thamani ya G katika umbo lifuatalo.

3 comments:

  1. safi san kwa kuanzisha blog hiii tutazidi kusaidiana

    ReplyDelete
  2. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete