Mayanja ana
magari 400. Kasita ana magari 700. Je, jumla wana magari mangapi?
Suluhu
Hapa tunatakiwa
kujumlisha:
|
JUMLA
|
Mayanja
|
400
+700
|
Kasita
|
|
JUMLA
|
1100
|
Hivyo
jumla ya magari yao ni 1100
ZAMU
YAKO………………
Malima ana
magari 600. Kasimu ana magari 800. Je, jumla wana magari mangapi?
No comments:
Post a Comment