Saturday, February 13, 2016

UJAZO - 1


Tafuta kimo cha mche mstatili ufuatao ikiwa ujazo wake ni  sm3420



Suluhu

Ujazo = urefu x upana x kimo


420 = 10 x 7 x h


420 = 70 x h


420 = 70h
 70      70
 
6 = h

Kwa hiyo kimo ni sm 6.


ZAMU YAKO………………

Tafuta kimo cha mche mstatili ufuatao ikiwa ujazo wake ni  sm3240




9 comments:

  1. 240=10×6h
    =240÷60=h
    4=h
    Kimo=sm4

    ReplyDelete
  2. 240=10*6*h
    240=60h
    240÷60=60÷60=
    4=h

    ReplyDelete
  3. Tafuta kimo cha mche mstatili ufuatao ikiwa ujazo wake ni sm3240

    10×6=60
    240÷60=4
    Hivyo h=4.

    ReplyDelete
    Replies
    1. UMESAHAU KUWEKA KIPIMO. SM. ILA UMEJITAHIDI. SAFI SANA.

      Delete
  4. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete