Umri wa Kaisari ni
mara nne ya ule wa Maneno. Ikiwa jumla ya umri wao ni miaka 65, Tafuta umri wa
wote.
Suluhu
Kaisari = t
Maneno = 4t
Kaisari
|
Maneno
|
Jumla
|
t
|
4t
|
65
|
t+4t = 65
5t = 65
5t = 65
5
5
t = 13
Umri wa Kaisari = t
= 13
Umri wa Maneno = 4t
= 4 x 13
=
52
Hivyo umri wa Kaisari ni miaka 13
na ule wa Maneno ni miaka 52
ZAMU
YAKO………………
Umri wa Kikwete ni
mara tano ya ule wa Riziwani. Ikiwa jumla ya umri wao ni miaka 80, Tafuta umri
wa wote.
No comments:
Post a Comment