Saturday, February 13, 2016

UJAZO - 1


Tafuta kimo cha mche mstatili ufuatao ikiwa ujazo wake ni  sm3420Suluhu

Ujazo = urefu x upana x kimo


420 = 10 x 7 x h


420 = 70 x h


420 = 70h
 70      70
 
6 = h

Kwa hiyo kimo ni sm 6.


ZAMU YAKO………………

Tafuta kimo cha mche mstatili ufuatao ikiwa ujazo wake ni  sm3240
2 comments: