Tuesday, February 9, 2016

WASTANI - 1


Tafuta wastani wa 11, 29 na 17.
           
Suluhu

11 +17 + 29 = 57

Jumla ya namba = 57
Idadi ya namba = 3

Wastani = Jumla ya namba ÷ Idadi ya namba
             = 57 ÷ 3  
             = 19

Hivyo wastani ni  19


ZAMU YAKO……………….



Tafuta wastani wa 20, 23 na 47.

1 comment:

  1. 20+23+47=90
    Jumla ya no ni 90
    Idadi ya no ni 3
    Wastani=jumla ya no ÷kwa idadi ya no
    90÷3=30
    Wastani wa no ni 30

    ReplyDelete